TANESCO - Kinondoni, this is emegency tafadhali

TANESCO - Kinondoni, this is emegency tafadhali

Doi

Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
23
Reaction score
1
Ndugu zangu TANESCO,

Leo siku ya 3 Ubungo Kibangu huku hatuna umeme,toka ijumaa jioni, tatizo ni transfoma, tumepiga sana namba zenu za emergency mkatuambia mnakuja,kuona sijui tunawakera mmeamua na simu kuzima kabisa hazipokelewi, jamani wafanyabiashara, majumbani, tunaingia hasara jamani, ama na hili hadi tushtaki kwa Magufuli?Ama mfatwe maofisini kwa kushtukiza ndio mtekeleze?

Tunaomba wahusika najuwa mnaingia na kusoma humu mlifanyie kazi
 
Back
Top Bottom