CC TANESCOMimi nimteja wa Tanesco kwa muda mrefu. Mwezi huu tarehe 19/8/17 nilinunua umeme na makato yake yakawa hivi. Ambapo nilikatwa TAX tu.
Leo tarehe 29/8/17 nimenunua tena umeme nikaona kuna makato yemeongezeka.Kuna VAT, REA na EURA. Naomba kupata ufafanuzi juu ya hili.
Ninavyojua mimi kulikuwa kunakatwa Tax tuu. Hayo makato mengine nimapya kwangu na hapo nimesha nunua mara tatu mwezi huu. Zamani makato hayo yalikuwa yanakatwa kila mwanzo wa mwezi then yakaja kuondolewa.Tuanzie na tarehe ni zipi mlizonunua umeme....Nijuavyo ni kuwa makato yanayoongezeka ya EWURA na REA huwa yanakatwa mara moja kwa mwezi inaweza kuwa mwishoni au mwanzoni mwa mwezi. Makato haya yapo siku nyingi sio mapya ila hayawezi kuonekana katika malipo mengine ndani ya mwezi husika kwa kuwa yanakatwa mara moja...nipo tayari kusahihishwa!!!
nakushauri mtoa post wacheki tanesco kwenye uzi wao maalumu watakujibu...siku hizi ni fasta tu
Sent using Jamii Forums mobile app