Tamu na Chungu ya Umaarufu

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,480
Reaction score
5,224
Watu wamekuwa ni watumwa wa umaarufu.
Wapo wanaotumia fedha zao ili wapate umaarufu,
wengine wanahonga wanamuziki ili waimbwe na kupata umaarufu,
wengine huwa wanakwenda kwa waganga ili wapate umaarufu,
kila kitu watu wanafanya ili wapate umaarufu.
Je kati ya hasara na faida za umaarufu kipi ni zaidi?
naombeni ushauri wenu ili nijue kama umaarufu una faida au una hasara.
 


Wengine hujiuzuru na kupokelewa majimboni mwao kwa shangwe huo pia umaarufu..
hata huyo dogo katumia uchawi wake kuwa maarufu...
ukifanya mabaya au mazuri unakuwa maarufu so inategemea unalenga nyanza zipi kwenye umaarufu...
 
Ni kweli kabisa,na wengine huwahonga na kujipendekeza kwa waandishi wahabari ili wawe maarufu lakini gharama ya umaarufu ni kubwa,muulizeni Zitto na kina Lowassa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…