Haktanani tena umegonga ikulu. Cha msingi asitumie ubavu........ zile tamthiria huwa zina marudio, tumia lugha laini ili umshawishi atazame marudio. Tatizo wengi ni watemi..........Kuna jamaa yangu mtaani analalama kuwa mke wake anapenda sana tamthilia zinazoonyeshwa kwenye TV. Shida inakuwa jamaa anapenda kulala mida ya saa nne, lakini unakuta mke anakuja kulala saa tano na nusu hivi akitoe sebuleni. Jamaa anakuwa tayari kwenye usingizi kiasi kwamba hata siku ambayo alihitaji game hawezi tena maana ucngizi unakuwa ushamlegeza. Mke wake ye namshtuaga wafanye asubuhi sasa jamaa analalama kuwa ile inamchosha na kusinzia sana kazini hivyo anaikwepa.
Alinieleza tatizo lake juzi tukiwa baa na kwa kuanza kumsaidia nilimwitia 'mhudumu' mmoja wa kwenye mgahawa, nikawaintroduce, alaf nikamwambia yule dada jamaa alipenda kumpa ofa ya chupa kadhaa (ingawa nililipia tatu mwenyewe) alaf nikawaacha nikasepa zangu. Jana nilimpigia mshkaji kaniambia kuwa ilisaidia maana walau aliporudi hom ilikuwa mda wa tamthilia umeisha...
Kina dada angalieni tamthilia lakini jalini na 'wazee' wenu pia....
Nadhani katikati ya mmego lazima kuelewa tamthiria kusimameinabidi naye awe anaangalia tamthilia ili waende sawa au kama namna gani vipi anunue TV ya chumbani ili awe anaangalia huku anammega. Zile TV za chumbani zina maana kubwa sana wala sio anasa ni basic need ya ndoa kabisa
He! sasa hapo kuna tofauti gani na kupiga NYETO???!!!inabidi naye awe anaangalia tamthilia ili waende sawa au kama namna gani vipi anunue TV ya chumbani ili awe anaangalia huku anammega. Zile TV za chumbani zina maana kubwa sana wala sio anasa ni basic need ya ndoa kabisa
we hujui tofauti ya mkono na mbunye?He! sasa hapo kuna tofauti gani na kupiga NYETO???!!!
au unalia timing wanapoweka matangazo ya biasharaNadhani katikati ya mmego lazima kuelewa tamthiria kusimame
Haktanani tena umegonga ikulu. Cha msingi asitumie ubavu........ zile tamthiria huwa zina marudio, tumia lugha laini ili umshawishi atazame marudio. Tatizo wengi ni watemi..........
Ndoa inakutanisha watu wenye tabia tofauti, kama mama anapenda tamthilia jamaa asilaumu sana, mpe mama haki yaki aangaliae, huenda inampa piece of mind kubwa sana asijaribu kumvuruga, acha aendelee tu ila tafuta jinsi ya kumvuta room nunua ka luninga kadogo weka room mwana, anapokuwa anaangalia usilale na kulalama tu kuwa close naye mpe mahaba bin mahubati nakuhakikishia mwenyewe atawahi kuingia room saa mbili sasa badala ya saa tatu
Unapokubali kuolewa/kuoa lazima ukubali kusacrifise baadhi ya vitu unavyopenda. Yaani nilitumia nguvu kutongoza, kuomba uchumba na kubembeleza ndoa alafu leo tena nianze kubembeleza kuita chumbani. Nitawaza mambo ya maendeleo saa ngapi?
kiukweli mwanaume akikomaa nisitazame tamthilia nitakubali kwa heshima yake ila nitamwona mbinafsi sana!
sitamfurahia kabisa............ata ushirikiano kwenye naniliii utakuwa mdogo!
we hujui tofauti ya mkono na mbunye?
maisha ya ndoa sio mchezo, maana kila siku kinakuja kituko kipya kabisa kinataka ushauri,
vipi jamani kwa waliooa, mnawashauri wasiooa wasioe kabisa?