Tamthilia za wasouth na wanaigeria zipo poa sana

The iron batterfly

JF-Expert Member
Jul 31, 2018
1,952
2,521
Habari za usiku wanabodi.Najua sote tuko kwenye maombolezo ya wahanga wa Mv Nyerere.Walale pema wote.Bwana alitoa na bwana ametwaa.

Baada ya hayo kuna jambo nimekuwa nalifikiria kwa kipindi kirefu sana;hasa kuhusu tamthilia za wasouth na Nigeria .Ni hakika wenzetu wametuacha mbali sana.Mie ni mpenzi sana wa Tamthilia.Hasa zenye maudhui ya kiafrika.So mara nyingi naangalia tamthilia zao halafu nafarijika sana.

Kwa wale watazamaji kuna kitu kama Isidindo,scandal,Imbew-the seed na ya sasa hivi inaitwa Isibaya,inacombination ya wasouth na wanigeria.Wako vizuri kuanzia,story ie ie.storyline,acting,actors,mazingira ya kuigizia,waigizaji wenyewe,quality za picha,mapambo,muendelezo wa story and the like.In short wako super.


Kwa Africa mashariki Kenya wanakuja vizuri.Ila ukwel lazima usemwe Tanzania we are doomed.Sijui tatizo ni nini?may be finance?but Pesa si kikwazo mbona tumetoa siri ya mtungi,siri za familia season 1.Zilikuwa bomba tu.Ingawa zilikuwa donner funded films ila we were good.

Sema wasouth wako poa soa. Sometimes nawaza kuolewa na msouth kisa tamthilia zao heheheh
Kizuri lazima kisifiwe jameni, wanakufanya tamthilia uhisi ni reality,kumbe story tu mweehh.
 
Waigizaji wa kibongo maigizo yao wameyahamishia instagram kwa kiki na kuchukuliana mabwana na wengine wa kiume kuchapwa nao...!Kumbe we ni KE?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom