chilamanyika
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 405
- 272
Hakika tamthilia hii ilituvuta wengi kwa kadri ilivyo ilivyokua na waigizaji mashuhuri,
Lakini sasa naona bora nirudi kulewa maana sultan bila hawa si chochote
Iblahim pasha
Khadije,
Niger karfa
Maiko chogro
Urojo pale jikoni,
Nasasa mustafa du!
Kwan umetumwa ucoment mkuu.afu isitoshe ili ni jukwaa la entertaiment.so hizi ndio story za humuUsituletee umama wako humu jf(home of great thinkers) Hayo ma SULTANI YAKO DISCUS NA BEKI TATU WA HAPO JIRANI MNAEFANANA AKILI NAE SIO SISI.
Entertainment za kimama haziruhusiwi Sultan ndo ma nini sasa?Kwan umetumwa ucoment mkuu.afu isitoshe ili ni jukwaa la entertaiment.so hizi ndio story za humu
Vipi wale wanao discuss avangers endgame..wapo kundi gani?Usituletee umama wako humu jf(home of great thinkers) Hayo ma SULTANI YAKO DISCUS NA BEKI TATU WA HAPO JIRANI MNAEFANANA AKILI NAE SIO SISI.
Kinachonishangaza wanaombeza mtoa mada wanaangalia GOT,VIKINGS, SPARTACUS N.KMsimzodoe mtoa post hii imebase kwenye true story ya empire ya Ottoman.. Ni kama Novel Fulani
Shida watanzania huwa hatujui entertainment zaidi ya Mpira wa miguu na Ngono!
Jamani kuna hizi Series
Kuogelea
Basketball
Kukimbia, Kick boxing
Karate
Mieleka
Car racing...... Nk.....
Kwa hiyo si ajabu mwanaume kufuatilia tamthiriya
Ni ajabu sana kwa mwanaume rijali kutizama tamthilia kama ile, uajabu wake unatoka wapi lazima aanze udada au umama nikisema hivyo nadhani unaelewa siwatukani wanawake ila tabia na mienendo yao si kama ya wanaume rijali.Msimzodoe mtoa post hii imebase kwenye true story ya empire ya Ottoman.. Ni kama Novel Fulani
Shida watanzania huwa hatujui entertainment zaidi ya Mpira wa miguu na Ngono!
Jamani kuna hizi Series
Kuogelea
Basketball
Kukimbia, Kick boxing
Karate
Mieleka
Car racing...... Nk.....
Kwa hiyo si ajabu mwanaume kufuatilia tamthiriya
Spartacus ya kiume ile weweKinachonishangaza wanaombeza mtoa mada wanaangalia GOT,VIKINGS, SPARTACUS N.K
What????? ile kitu ni habari ingine aiseee nimeitazama nusu Netflix subiri mwezi July kuna Spiderman nyingineVipi wale wanao discuss avangers endgame..wapo kundi gani?
Spartacus ya kiume ile wewe
What????? ile kitu ni habari ingine aiseee nimeitazama nusu Netflix subiri mwezi July kuna Spiderman nyingine