Kauli iliyoleta matokeo chanya Tz
Commred Chichimizi
Kauli [emoji23]...Kauli ya kiufundi ya Mhe.Rais JPM ya serikali haina shamba, hivyo mgao wa chakula hakuna. Kauli iliyoleta uwajibikaji na uchapaji kazi miongoni mwa watanzania..... Naamini mwakani tutalima wengi, na chakula kikiwepo, mfumko wa bei unakuwa chini.
Commred Chichimizi
commred Chichimizi