njoro Senior Member Joined Dec 21, 2010 Posts 178 Reaction score 8 Dec 30, 2010 #21 moma2k said: UDOM hawapati elimu ya kutatulia matatizo, bali ya kukalili tuu! Click to expand... kukalili?
moma2k said: UDOM hawapati elimu ya kutatulia matatizo, bali ya kukalili tuu! Click to expand... kukalili?
SOKON 1 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2010 Posts 1,134 Reaction score 331 Dec 30, 2010 #22 UDOM UDOM UDOM....... Tuseme hakuna jipya la kusema ama ni kuishiwa threads sababu elimu ni ile ile ya Tanzania ata ukiwa Mzumbe,Sua,UDSM na vyuo vininevyo hakuna jipya ni VITINI KWA SANA ndio maana tunaongozwa na Mkwere.
UDOM UDOM UDOM....... Tuseme hakuna jipya la kusema ama ni kuishiwa threads sababu elimu ni ile ile ya Tanzania ata ukiwa Mzumbe,Sua,UDSM na vyuo vininevyo hakuna jipya ni VITINI KWA SANA ndio maana tunaongozwa na Mkwere.