Wabunge wa chama pinzani walipomsusa mkwere na kutoka nje ya ukumbi wa bunge kule Dodoma, watu wa UDOM kwa haraka militoa tamko na kulaani kitendo hicho. Fine.
Now, tunaomba tamko lenu kuhusu DOWANS na katiba mpya. Ama havina umuhimu kwenu? Mbona mmekuwa mabubu.....ama ndi ku-justify kwamba hicho ni chuo cha kisiasa cha CCM?:hug:
Wabunge wa chama pinzani walipomsusa mkwere na kutoka nje ya ukumbi wa bunge kule Dodoma, watu wa UDOM kwa haraka militoa tamko na kulaani kitendo hicho. Fine.
Now, tunaomba tamko lenu kuhusu DOWANS na katiba mpya. Ama havina umuhimu kwenu? Mbona mmekuwa mabubu.....ama ndio ku-justify kwamba hicho ni chuo cha Ka....oh no...chuo cha kisiasa cha CCM?:hug:
UDOM hawapati elimu ya kutatulia matatizo, bali ya kukalili tuu!
kazi kuu ya wasomi ni kutatua matatizo yanayokumba taifa na kutoa tamko ila kwa Tanzania hakuna jipya wasomi wote wanaishia kulalamikia chumbani hayafiki panapotakiwa so sishangai vyuo vikuu Tanzania kulea vilaza hambao wanaibiwa mchana kweupe ata hawatoi neno ila ni kupeana majungu wenyewe kwe wenyewe leo utasikia UDOM chuo cha kata, kesho watatoa lingine so tuache mipasho mwanao hataridhi nini taifa litakapo baki gofu? TUFIKIRIE MAMBO YA MUHIMU YA KUJENGA TAIFA KAMA WASOMI WA VYUO VIKUU NA SIO KURUSHIANA MANENO.
Pale UDOM kuna wenzetu wapiganaji kibao wanaopenda sana mabadiliko ya kweli nchini.
Hivyo, Wana-JF nawaomba sana tuwape nafasi watajirudi na wala tusiwakemee sana na kuwatakia mabaya. Ni wale wale watoto wa masikini wakulima waliotuzaa isipokua tu, kwa kuwa kila soko halikosi kuwa na mwendawazimu wake, UDOM walionekana kuharibiwa sana na watu wachache wanaofikiria tumboni.
Chonde tusiwakane wana-UDOM kwani wengi tu tayari ni wanachama wetu humu na wanaleta mawazo mazuri tu wa kusaidia taifa letu.
Solution?