Tamko la Visimbusi Bungeni Kitendawili

gomer

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
294
Reaction score
99
Wakijibu swali la ziada bungeni la Bi. Mollel, kwa nini mteja wa kisimbusi akiwa hana kifurushi anakosa kuona tv za kitaifa, wamesema ni kwa vile wenye visimbusi hawajalipwa tozo zao na wenye tv za kitaifa.
Hilo ni jibu la hadithi za 'karumekenge'. Kweli kila idara na wajuvi wao.
Kifupi halikupaswa kujibiwa na wizara ya habari. Waliotoa tamko la awali ni wizara ya mawasiliano. Usichanganye na mawasiliano ya mkulu inayotoa habari!
Tatizo la kutokuona tv za kitaifa lilishatahadharishwa na wamiliki wazawa wa tv. Ajabu ndio wanaobeba mzigo walionyimwa.
Jukumu la kurusha lilipewa kampuni ambayo imepewa eneo ndani ya taasisi ya vielelezo na filamu ya serikali bamanga na minara yao maeneo ya .. ni makongo .. utajaza. Wamepewa masafa ya t1 na t2 zaidi ya matano.
Ilipendekezwa jukumu lipewe mzawa au serikali. Serikali inaweza ikajipa safa moja lenye tv zaidi ya 36 za ubora wa kawaida na kuiamuru hiyo kampuni iliyopewa maeneo nyeti ya serikali. Hakuna haja ya tv za kitaifa kuwalipa hii kampuni. Kuna mzawa alijitolea kwa hili hakusikilizwa.
 
Nchi Hii Kweli Tajiri Yaani Hata Visimbuzi Hadi
Rais Atoe Tamko
Nimekumbuka Jpm Akiwa Tanga Alisema
Kiongozi Niliyekuteua Halafu Unashindwa Kutatua Shida Za Wana Nchi

Ujue Nikija Kuitatua Mimi Rais Nawe Nakutatua Hapo Hapo
 
D
Nchi Hii Kweli Tajiri Yaani Hata Visimbuzi Hadi
Rais Atoe Tamko
Nimekumbuka Jpm Akiwa Tanga Alisema
Kiongozi Niliyekuteua Halafu Unashindwa Kutatua Shida Za Wana Nchi

Ujue Nikija Kuitatua Mimi Rais Nawe Nakutatua Hapo Hapo
Ahhhhhhhhhaaahah dah nimecheka sana hyo statement ya JPM japo ana niudhi
 
Wanagonjea hadi JPM atoe tamko ndio waanze kuji kanyakakanyaga na kuruka sarakasi za kukurupuka, huyo waziri aendelee kuzubaa JPM atamnyoa bila maji na kujiongezea umaarufu miongoni mwa wapiga kura masikini. Umaarufu ni bidhaa adimu kwa sasa ohoo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…