Tamko la UVCCM TAR 13.1.2016

Wewe ni raisi wa dunia wa upuuzi .pinga mambo muhimu yalioandikwa kama ni uongo au ukweli unakuja na minor issue ya vitarehe na mwaka wewe umeona hilo tu .kweli mbutika ni wengi!


Wewe kweli ni bomu ! Wachilia mbali siasa Hivi kweli wewe unajua kusoma na kuandika vizuri? Wacha kujifunza siasa kwenye jukwaa la siasa la JF. Chotara Mkuu
 
Last edited:


Umeandika kwa lugha zaidi tatu- kiswahili, kiswaglish, kiingereza, nk. lakini bado ni crapppppp. Rejea tena hizo bold hapo!
 

Ukiwa CCM akili inahamia matakoni?
 
"You can't swim against the current". Birds of the same feathers fly together. Unazani wachungaji hawapendi kwenda kuhubiri mawaidha/kutoa kwenye kumbi za starehe kama (Casinos) Wanajua shetani akiwa anapokuwa kwenye himaya yake ananguvu sana ukitaka kumshinda sharti nawe uwe shetani.
Hata hivyo naamini nakuja kubadilisha kabisa muundo wa UVCCM 2017 pale ntakapochukua madaraka!
Hata hivyo naamini nakuja kubadilisha kabisa muundo wa UVCCM 2017 pale ntakapochukua madaraka!
 
No logic on this post...Ccm now mmekosa mwelekeo na mtazamo chanya wa taifa hili.....hili lazima mkubaliane nalo , Madaraka hayapo hivyo.....mnacho fanya ni bora hata na biashara ya kitumwa iludi kuliko mnachofanya
 
hiyo ndio ccm hata yalipopigwa mabomu kule Arusha ccm walisema chadema wamejipiga wenyewe mabomu, hata walioiba makontena ccm wanasema ni viongozi wa serikali ya Lowasa pamoja na ujinga wote huo kuna watu wanaamini
 
maajabu mengine wazazi wao wameomba radhi kwa kitendo kilichofanywa na vijana wao, vijana wanasema sio wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…