Tamko la serikali juu. Ya mlipuko wa Bomu Arusha

Tamko la serikali juu. Ya mlipuko wa Bomu Arusha

Pilato

Member
Joined
May 29, 2008
Posts
60
Reaction score
3
katika Hali isiyokuwa ya kawaida serikali ya wanamagamba imeshindwa kabisa kutoa tamko juu ya kile kilichotokea Kule Arusha kulipuka kwa bomu June 15,kwenye mkutano wa Chadema.

Zaidi ya hapo ni pale waziri mkuu wa serikali ya wanamagamba badala ya kuonyesha masikitiko yeye Aliotoa Agizo la kuendelea kuua na kuwapa kipigo wana Arusha matukio ya kuuwawa au kuteswa ni Kama kupigwa bomu kanisani arusha ,Kuuwawa mwandishi Habari mwanza ,kuteswa kwa ulimboka,kuuwawa Kijana wa Chadema morogoro,kuteswa mbunge wa chadema Ernest kiwia,kuuwawa kwa padri Zanzibar,kumwagiwa shekhe wa zanzibar tindikali,kukoswakoswa kuuwawa kwa maximero wa jf, badala ya kutegeshewa ajali Huko mkoa ni tabora ,
Nadhani wana jf mawe za kuorodhesha na matukio mengine


Serikali imekuwa ikikiuka haki za binaadam hapa Nchini na inasemekana Hali imekuwa mbaya zaidi kipindi cha kuanza 2005 hadi Leo, wizara ya mambo ya Ndani chini ya ya waziri wa sasa wa mambo ya Ndani Bwana Nchimbi inaonyesha matukio yamekuwa mengi zaidi na ukilinganisha serikali zilizopita ni serikali ya Jk ndio yenye matukio mengi zaidi kuliko serikali zote, wana JF hebu tuorodheshe matukio yote ya uvunjifu Wa haki za binaadam ,alafu tupime yameshughulikiwa vipi na serikali hii ya wanamagamba
 
Usihofu, hiyo ndiyo style ya CCM kukata roho! Wako hoi bin taaban! Dawa zote walizokuwa nazo za udini, ukanda, ukabila na ugaidi hazifanyi kazi tena! Wako ICU wakipumulia mashine ya polisi na mahakama!! Tumaini lao la mwisho sasa ni mabomu!! Lakini dawa hii nayo haitafanya kazi. Kaburi linawasubiri kwa hamu!!!
 
Duh!! Hivi Max wa jf nae walishataka kum-Kolimba!!??

POLE SANA MAX!!!!
 
Watoe tamko gani tena wakati wamethibitisha kwamba wao ni wauaji wanatumia jeshi la polisi kupiga na kuua kumbuka Pinda ni waziri mkuu akitoa tamko bungeni ni tamko la serikali kama unangoja tamko lingine zaidi ya ruhusa aliyotoa kwa polisi kuendelea kuua basi ngojea mpaka kiama usipojilinda mwenyewe umekwisha askari wa pinda wapo tayari kukupiga au kukuua wakati wowote
 
Yote uliyoyasema ni sawa, lakini nadhani ajali ya Maxence ilikuwa road accident!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wana bodi, heshima kwenu wakuu,

Kiongozi akikosa hekima na busara anakuwa mpumbavu,
Kiongozi akikosa utu na ubinadamu anakuwa mkatili,
Kiongozi akikosa kutambua ya kuwa yupo kwa ajili ya watu anakuwa na dharau.

Kiongozi huyo ni nani ?
"Mizengwe iliyo pinda".
 
Rejea tamko la pinda, atakayekaidi amri halali ya dola ni mboko tu
 
Wana bodi, heshima kwenu wakuu,

Kiongozi akikosa hekima na busara anakuwa mpumbavu,
Kiongozi akikosa utu na ubinadamu anakuwa mkatili,
Kiongozi akikosa kutambua ya kuwa yupo kwa ajili ya watu anakuwa na dharau.

Kiongozi huyo ni nani ?
"Mizengwe iliyo pinda".
Ukifanya vurugu, ukikaidi amri ya polisi virungu vinakuhusu..tumebembelezana sana
 
Ww unaleta frustration zako hapa bana, matukio mengi chadema inahusika. Lile la kibanda, mamake zitto kutishiwa bastola, kifo cha chacha wangwe, kujeruhiwa kwa mwenyekiti wa ccm wilaya ya kilosa, yote haya chadema pamoja na lile la kuuawa kijana kule iramba..
 
Back
Top Bottom