Tamko la kukanusha kinachoitwa CHADEMA-Asili

CHADEMA Asili tupo. Tunasimamia maadili ya taifa, tunapambana na ufisadi, tunataka viongozi wasio na kashifa na pia hatuitaji wezi ndani ya chama.

Hii ndo CDM asili na chama chetu kilianzishwa kwa mrengo huu. Huu uhuni wa siku hizi hauna baraka za wanachama wote.
 
mkuu usinambie kuwa hilo andiko hujatatambua liliko toka, ni la watani zenu hata rangi yake ni kijani kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…