shanature
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,455
- 1,159
kutokana na tamko la Jecha(mkuu wa tume ya uchaguzi ZAnzibar)kusema uchaguzi utarudiwa hapo mwezi wa machi...na vyama vitakavoshiriki ni vile vile vya awali na wagombea ni walewale wa awali..na kutokuwa na kampeni......
kuna tetesi kuwa aliyekuwa anagombe uraisi kupitia adc-amevuliwa uanachama..kwa vyovyote hana haki ya kuwa candidate wa adc..kutokana na katiba yetu....
swali!?
kulazimisha chama kuingia kwenye uchaguzi(mfano cuf walivyotoa Tamko la kususia)si uvunjifu wa katiba....?kuwalazimisha ADC kumsimamisha yule yule candidate wamwanzo sio uvunjifu wa katiba..na wakimchagua mpya wananchi watamjuaje bila kuwepo na kampeni....?