Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Mwanapinduzi Dr Slaa.....tuko nyuma yako baba, tuko nyuma yako!Nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya Ubunge matatizo yamehamia kwenye matokeo ya Urais na kutokana na unyeti wa nafasi hii tunahitaji uangalifu katika kushughulikia. Msife moyo kwani tukiwa tayari muda si mrefu ujao tutazungumza nanyi kwa taarifa zaidi.
Dr. Wilbrod Slaa | Facebook
http://www.facebook.com/WilbrodSlaa/posts/161833713850854
Nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya Ubunge matatizo yamehamia kwenye matokeo ya Urais na kutokana na unyeti wa nafasi hii tunahitaji uangalifu katika kushughulikia. Msife moyo kwani tukiwa tayari muda si mrefu ujao tutazungumza nanyi kwa taarifa zaidi.
Dr. Wilbrod Slaa | Facebook
http://www.facebook.com/WilbrodSlaa/posts/161833713850854
Tamko la Dr.Slaa
Nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya Ubunge matatizo yamehamia kwenye matokeo ya Urais na kutokana na unyeti wa nafasi hii tunahitaji uangalifu katika kushughulikia. Msife moyo kwani tukiwa tayari muda si mrefu ujao tutazungumza nanyi kwa taarifa zaidi.
Hii ni kauli ya kiutu uzima lakini sisi tunaomba Chadema wadai kura zirudiwe kuhesabiwa tu na huo ndiyo mwisho wa JK na CCM yake..aibu itakayowakuta haitasahaulika milele.....................................
Dr. Wilbrod Slaa | Facebook
Tutasubiri tu ingawaje tunajua dhuluma kali JK na CCM yake wameifanya dhidi ya wapigakura wa nchi hii na Mwenyezi Mungu hatakaa kimya...Tuwe na subira wakuu Dr. Slaa atatoa tamko kuhusu matokeo yaliyopikwa NEC/CCM ambayo yanatia kichefuchefu hata kuyasikiliza. Watanzania hatudanganyiki....
BONUS gani tena swaiba?! au ndo ile ya kikubwa zaidi!?!!:tape:asante mkuu my wife kanipa bonus kwa kumsomea hii post