Tamisemi.

Evz

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
674
Reaction score
130
msaada jamani jinsi ya kuandika barua ya uhamisho. Idara ya sec. Pia naomba na pobox la tamisemi dodoma
 
msaada jamani jinsi ya kuandika barua ya uhamisho. Idara ya sec. Pia naomba na pobox la tamisemi dodoma

Katibu mkuu ofisi ya ya waziri mkuu tawala za mikoa serikali za mitaa
s.l.p (nitakupa baadae niiangalie kwenye documents zangu)
dodoma
kk,
katibu tawala wa mkoa (jina la mkoa uliopo)
s.l.p
hapo ulipo
kk,
mkurugenzi mtendaji wilaya/manispaa uliopo
s.l.p
hapo ulipo
kk,
afisa elimu sekondari wilaya/manispaa uliopo
s.l.p
hapo ulipo

hiyo ndo format ya barua
 
muandikie barua yote!
 
KATIBU MKUU,
OWM-TAMISEMI,
S.L.P 1923,
DODOMA

Lakini kwa sasa muombaji haiandikii TAMISEMI, unapeleka maombi ya nafasi kule unakotaka kuhamia, ukikubaliwa unaipeleka kwa RAS mkoani kwako, yeye ata-compile maombi yote ndani ya mkoa na kuyapeleka TAMISEMI,
 
Adress ikiishia kwa RAS huo ni uhamisho wa ndani ya mkoa, kama anahama mkoa lazma aandike kwa katibu mkuu tamisemi
hata mi niliambiwa hivo na mkurugenzi kuwa nisiandike adress ya tamisemi
kufika kwa RAS akasema niandike...
 
Evz huoni kipi mbona thread ipo?
 
Last edited by a moderator:
Duh, sasa watoto wetu unawafundisha nini? Au wewe ni mwalimu wa UPE?
Ulisoma chuo gani?
 
Duh, sasa watoto wetu unawafundisha nini? Au wewe ni mwalimu wa UPE?
Ulisoma chuo gani?
Kazi ipo ndo madhara ya kufanya marekebisho yenye huruma
hadi division six wawe walimu
watu bana sijui wanajua kufundisha ni sawa na kusimulia hadithi za shigongo mh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…