Hatimaye TAMISEMI watoa majina ya uhamisho wa watumishi kaz kwenu.source website ya tamisemi
Hebu fafanua basi waliohamishwa ni kina nani na wamehamishwa kwenda wapi? ukitaka kutoa taarifa mkuu toa kikamilifu hiyo source iwe tu kuthibitisha ukweli wa taarifa yako. Na kazi kwenu unawambia kina nani?
hebu fafanua basi waliohamishwa ni kina nani na wamehamishwa kwenda wapi? Ukitaka kutoa taarifa mkuu toa kikamilifu hiyo source iwe tu kuthibitisha ukweli wa taarifa yako. Na kazi kwenu unawambia kina nani?
kweli wengine ni mbumbu sana wa kuhabarisha! Sijui kwa nini wanakimbilia kutoa habari? Na sasa hivi jamvi limevamiwa sana na watu wa namna hii, wako wengi kuliko huko nyuma