Inabidi uwe serious mkuu maisha haya.Habari wanaJF, Kuna tangazo TAMISEMI la Ajira kada ya afya kwa awamu ya pili. Mwenye MB alilete basi hapa kwa faida ya wote.
Msinijaji kivingine, mazingira tu ndo sababu. Ahsanteni
Kiongozi sikuwa na mb kwa sababu ya kimazingira niliyokuwa nayo, sijui kama ulinielewa mwanzo
hua najilaumu sana kwann sikusoma coz za afya ,,,japo ni ngumu lkn ningekomaa nikatusua tu ajira zao hazina stress kabsa yani