Inakera sana this is too much, hivi kinachofanya wasiruhusu uhamisho ni nini wakati uhamisho haulipiwi??? Bora hizo ajira mpya watasingizia pesa uhamisho je? Aaagggrrr
KWA mujibu wa ofisi ya katibu Mkuu Tamisemi, taratibu za uhamisho tayari(vibali) wanasubiri tu ruhusa ya rais waweze kurelease.
Maswali mengi sitaki namba ya katibu Mkuu Tamisemi ipo, piga utapewa majibu kama hayo