DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,931 Reaction score 2,141 Mar 16, 2014 Thread starter #41 A Father said: Good job Mkuu. Kazi nzuri. Ukiwa na UC Browser unaweza ku'preview yaani ku'check file contents directly. Hii itasaidia kama simu yako inazingua au haina document viewer ya kueleweka. Click to expand... Mi mwenyewe nnaitumia hiyo UC browser. Ila serikali yangu imenisaliti.
A Father said: Good job Mkuu. Kazi nzuri. Ukiwa na UC Browser unaweza ku'preview yaani ku'check file contents directly. Hii itasaidia kama simu yako inazingua au haina document viewer ya kueleweka. Click to expand... Mi mwenyewe nnaitumia hiyo UC browser. Ila serikali yangu imenisaliti.
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,931 Reaction score 2,141 Mar 16, 2014 Thread starter #42 Majina wamesha toa tamisemi.
G Goma Son Senior Member Joined Mar 6, 2014 Posts 161 Reaction score 39 Mar 16, 2014 #43 DZUDZUKU said: Majina wamesha toa tamisemi. Click to expand... kaka hii ni rasmi kutoka tamisemi au ni yaleyale yaliyovuja?
DZUDZUKU said: Majina wamesha toa tamisemi. Click to expand... kaka hii ni rasmi kutoka tamisemi au ni yaleyale yaliyovuja?
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,931 Reaction score 2,141 Mar 16, 2014 Thread starter #44 Goma Son said: kaka hii ni rasmi kutoka tamisemi au ni yaleyale yaliyovuja? Click to expand... Uhakika mkuu, majina yote ninayo hapa kwenye pc
Goma Son said: kaka hii ni rasmi kutoka tamisemi au ni yaleyale yaliyovuja? Click to expand... Uhakika mkuu, majina yote ninayo hapa kwenye pc
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,983 Reaction score 11,794 Mar 16, 2014 #45 Walimu mkapige kazi msaidie kizazi cha div 5. Kazi njema Mungu awe nanyi.
Makuku Rey JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 3,644 Reaction score 4,186 Mar 16, 2014 #46 DZUDZUKU said: Uhakika mkuu, majina yote ninayo hapa kwenye pc Click to expand... Mkuu niangalizie SHEMEJI YAKO, TUMAINI B. CHAULA nitumie humu 0765432283,au nishtue nkupgie! thanx
DZUDZUKU said: Uhakika mkuu, majina yote ninayo hapa kwenye pc Click to expand... Mkuu niangalizie SHEMEJI YAKO, TUMAINI B. CHAULA nitumie humu 0765432283,au nishtue nkupgie! thanx
Cicinho Senior Member Joined Oct 30, 2013 Posts 165 Reaction score 13 Mar 16, 2014 #47 Jamani kwani ya diploma tayari,km tayari mwenye nayo atuwekee
G Goma Son Senior Member Joined Mar 6, 2014 Posts 161 Reaction score 39 Mar 16, 2014 #48 DZUDZUKU said: Uhakika mkuu, majina yote ninayo hapa kwenye pc Click to expand... jaman mbona mi naingia kwenye website ya tamisemi siyaoni hayo majina?
DZUDZUKU said: Uhakika mkuu, majina yote ninayo hapa kwenye pc Click to expand... jaman mbona mi naingia kwenye website ya tamisemi siyaoni hayo majina?
MREMBO WA AFRIKA Member Joined Feb 6, 2014 Posts 65 Reaction score 17 Mar 16, 2014 #49 goma son said: jaman mbona mi naingia kwenye website ya tamisemi siyaoni hayo majina? Click to expand... yapo au tuma jna uambiwe
goma son said: jaman mbona mi naingia kwenye website ya tamisemi siyaoni hayo majina? Click to expand... yapo au tuma jna uambiwe
A Father JF-Expert Member Joined Nov 11, 2012 Posts 1,385 Reaction score 602 Mar 16, 2014 #50 Attachmet please!!!
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,931 Reaction score 2,141 Mar 16, 2014 Thread starter #51 Makuku Rey said: Mkuu niangalizie SHEMEJI YAKO, TUMAINI B. CHAULA nitumie humu 0765432283,au nishtue nkupgie! thanx Click to expand... Nnaimani moyo umetulia sasa.
Makuku Rey said: Mkuu niangalizie SHEMEJI YAKO, TUMAINI B. CHAULA nitumie humu 0765432283,au nishtue nkupgie! thanx Click to expand... Nnaimani moyo umetulia sasa.
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,931 Reaction score 2,141 Mar 16, 2014 Thread starter #52 A Father said: Attachmet please!!! Click to expand... Mkuu A Father kwanza habari ya masiku, pili, attachment zote zimewekwa kwenye sticky thread hapo juu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
A Father said: Attachmet please!!! Click to expand... Mkuu A Father kwanza habari ya masiku, pili, attachment zote zimewekwa kwenye sticky thread hapo juu
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,931 Reaction score 2,141 Mar 16, 2014 Thread starter #53 A Father said: Attachmet please!!! Click to expand... Ndugu A Father attachment hiyo hapo. Attachments TANGAZO.pdf TANGAZO.pdf 9.7 KB · Views: 40 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Jerhy JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 3,135 Reaction score 1,000 Mar 16, 2014 #54 Munkari said: haya mkuu asante ntacheki bdaye nkifika home nipo safarini mana cm yangu haina hayo mapdf ! Click to expand... Utabiri wangu umekufikia vema? Hongera kujipatia Ajira,....
Munkari said: haya mkuu asante ntacheki bdaye nkifika home nipo safarini mana cm yangu haina hayo mapdf ! Click to expand... Utabiri wangu umekufikia vema? Hongera kujipatia Ajira,....
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,363 Mar 16, 2014 #55 We DZUDZUKU naona sasa karoho kako kwatu! Mana ulikuwa hulali! Haya twenzetu chitchat sasa huku tutarudi mshahara ukicheleweshwa!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
We DZUDZUKU naona sasa karoho kako kwatu! Mana ulikuwa hulali! Haya twenzetu chitchat sasa huku tutarudi mshahara ukicheleweshwa!!
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,363 Mar 16, 2014 #56 Jerhy said: Utabiri wangu umekufikia vema? Hongera kujipatia Ajira,.... Click to expand... hahaha mkuu hivi ulinitabiria wapi vilee!
Jerhy said: Utabiri wangu umekufikia vema? Hongera kujipatia Ajira,.... Click to expand... hahaha mkuu hivi ulinitabiria wapi vilee!
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,363 Mar 16, 2014 #57 Mumewasema weee hao tamisemi kuchwa hatulali humu! Haya sasa muende kuuza mibuyu darasani he he he! Walimu oyeeee! Kidumu chama cha ma..ah CWT !!!
Mumewasema weee hao tamisemi kuchwa hatulali humu! Haya sasa muende kuuza mibuyu darasani he he he! Walimu oyeeee! Kidumu chama cha ma..ah CWT !!!
Jerhy JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 3,135 Reaction score 1,000 Mar 16, 2014 #58 Munkari said: hahaha mkuu hivi ulinitabiria wapi vilee! Click to expand... Ebo! Umesahau eeeh??? Haya niko nayo hapa post zote, {certificate, diploma, shahada, } {WhatsApp 0787459850 utumiwe ulipopangwa naona simu yako haisomi pdf}
Munkari said: hahaha mkuu hivi ulinitabiria wapi vilee! Click to expand... Ebo! Umesahau eeeh??? Haya niko nayo hapa post zote, {certificate, diploma, shahada, } {WhatsApp 0787459850 utumiwe ulipopangwa naona simu yako haisomi pdf}
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,931 Reaction score 2,141 Mar 16, 2014 Thread starter #59 Munkari said: We DZUDZUKU naona sasa karoho kako kwatu! Mana ulikuwa hulali! Haya twenzetu chitchat sasa huku tutarudi mshahara ukicheleweshwa!! Click to expand... Haya Munkari hujaniambia umepangiwa wapi. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Munkari said: We DZUDZUKU naona sasa karoho kako kwatu! Mana ulikuwa hulali! Haya twenzetu chitchat sasa huku tutarudi mshahara ukicheleweshwa!! Click to expand... Haya Munkari hujaniambia umepangiwa wapi.