mzee wa magumashi Senior Member Joined Oct 10, 2012 Posts 137 Reaction score 44 Dec 25, 2017 #1 Kimsingi me nasafer sana kuhusu uhamisho Wa watumishi aliye karbu nao lini majina yatatoka waliokamilisha taratibu.
Kimsingi me nasafer sana kuhusu uhamisho Wa watumishi aliye karbu nao lini majina yatatoka waliokamilisha taratibu.
Jux08 Member Joined May 21, 2017 Posts 55 Reaction score 16 Jan 1, 2018 #2 Asee mi natafuta wa kubadilishana nae wa mwanza mjini, mi niko musoma manisaa
Babu Kijiwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 4,845 Reaction score 4,776 Jan 1, 2018 #4 Fanyeni kazi acheni kufikiri upuuzi wa kuhama allah! Tena kama hamtaki acheni ila ahami mtu mwaka huu.
Fanyeni kazi acheni kufikiri upuuzi wa kuhama allah! Tena kama hamtaki acheni ila ahami mtu mwaka huu.
Sonkuno JF-Expert Member Joined Nov 16, 2017 Posts 206 Reaction score 171 Jan 1, 2018 #5 Nataka kuja Bunda kutoka Dar Temeke nani a taka?
K kibajawife New Member Joined Dec 31, 2017 Posts 1 Reaction score 0 Jan 1, 2018 #6 Mimi nipo bunda nataka Dar
K kapompogoro Member Joined Apr 29, 2015 Posts 83 Reaction score 37 Jan 4, 2018 #7 Sijuti said: Fanyeni kazi acheni kufikiri upuuzi wa kuhama allah! Tena kama hamtaki acheni ila ahami mtu mwaka huu. Click to expand... Mungu anakuona
Sijuti said: Fanyeni kazi acheni kufikiri upuuzi wa kuhama allah! Tena kama hamtaki acheni ila ahami mtu mwaka huu. Click to expand... Mungu anakuona
Sonkuno JF-Expert Member Joined Nov 16, 2017 Posts 206 Reaction score 171 Jan 4, 2018 #9 kibajawife said: Mimi nipo bunda nataka Dar Click to expand... Tunafanyaje
Gamlemilwe JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 290 Reaction score 202 Mar 19, 2018 #10 Jamani hakuna updates zozote kuhusu kutoka majina ya uhamisho?
amb1992 Member Joined Mar 24, 2020 Posts 11 Reaction score 5 Mar 24, 2020 #11 Nataka kigoma nenda njombe Sent using Jamii Forums mobile app
Samily de cruze JF-Expert Member Joined Jan 12, 2020 Posts 230 Reaction score 683 Mar 25, 2020 #12 Ukiona mtu anafikiria kuhama ujue inawezekana hapendi eneo alilopangiwa kazi sasa kuna wengine hapa wanataka kuhama na wakati walienda kuzitafuta kazi wenyew Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona mtu anafikiria kuhama ujue inawezekana hapendi eneo alilopangiwa kazi sasa kuna wengine hapa wanataka kuhama na wakati walienda kuzitafuta kazi wenyew Sent using Jamii Forums mobile app
test man JF-Expert Member Joined Aug 13, 2016 Posts 1,014 Reaction score 983 Mar 25, 2020 #13 Njoo Dar kinondoni nije Mwanza ilemela Sent using Jamii Forums mobile app