Tamisemi bado tu bila bila dah

Trh 30 kaeni kimya walimu sio nidhamu hii πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kesho pia atakua ana check game ya simba kwahiyo paka kuanzia juma3
 
Kusubiri kote huku kwa stress na bado kupata ni asilimia 10% kati ya 100%.

Ajira 9800 waombaji malaki na uchafu.
Primary 5000
Secondary 4800 (kuna degree na diploma na special diploma) kuna masomo 11....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…