Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,180
Yani izi ajira za mwaka huu sio mchezo watu online adi bando zinaexpire watu tulitaka tupakulie pdf Leo aisee
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Bashungwa oyeeeeeeeYani izi ajira za mwaka huu sio mchezo watu online adi bando zinaexpire watu tulitaka tupakulie pdf Leo aisee
Kesho kesho kesho mpaka wiki ijayoKesho lazma
DuhKesho lazma
Ametoa hela uyoMzee yani umeacha kufanya mambo yako kabisa unafuatilia hiyo pdf ambayo hata ikitoka uwezekano wa jina lako kuwepo ni asilimia 0.00000000001???
Acha utani aisee
Kwa kimuhemuhe alichonacho saivi kama connection yake ilikua ya madalali akikosa anaweza kujinyongaAmetoa hela uyo
[emoji16][emoji16][emoji16]Kwa kimuhemuhe alichonacho saivi kama connection yake ilikua ya madalali akikosa anaweza kujinyonga
[emoji16][emoji16][emoji16]Wanatuchelewesha tunataka tujue hatumo tukadai hela zetu.
ATA ongea yake slow hatariBashungwa anazubaa sana
Mambo Bado labda saa moja hivi jion
[emoji16][emoji16][emoji16]Waziri yuko mpirani mbeya so tukalale tusubiri kesho