nafikiri afadhali Shibuda kuliko Hiza maana tunapata misamiati mipya na maneno mapya ya kiswahili kama UJIRA WA MWIA
WaJF, kati ya wanasiasa hawa wawili; John Shibuda na Tambwe Hizza nani mwenye hekima
au mwenye mchango mzuri kwenye siasa?
ni kweli kwani shibuda na tambe ziroMbowe na Slaa hawawapati hao jamaa kwa siasa.
Shibuda belongs to the place you have mentioned while Tambwe needs A classroom "treatment"mirembe type.
<br />Tambwe VS Shibuda!!??<br />
Bora Shibuda, unaweza hata kucheka ukadhani ni utani!<br />
Tambwe, hata kuchekesha hafai anakera tu!
dah! mtihani mgumu.lakini bora shibuda.hiza usiombe kumsikiliza yaani ni upupu upupu.