Afrika ndio bara lenye wapenzi waaminifu kuliko mabara yote
Katika utafiti uliofanyika juu ya UKOSEFU WA UAMINIFU katika mapenzi nchi za ulaya zimeongoza kwa kutokuwa waaminifu kwenye mapenzi ambapo ufaransa, Italy, uingereza, Belgium, ujeruman na Denmark zimeongoza kwa kutokuwa waaminifu kwenye mapenzi
Katika utafiti huo nchi ya THAILAND ndio imeongoza kwa wapenzi wake kutokuwa waaminifu ambapo asilimia 56 ya wapenzi wanasalitiana.