Tambi na lost ya samaki

Alfu...?
 
Sio lost ni rost
 
Huyo ni Santa Lucia au Mo 😜
 
wanaokukashifu njaa zinawasumbua wapunguze wivu na makasiriko, waendelee na Ibada!

Ramadhani Kareem
 
Baada ya hpo nikaweka maji kama wewe una tui la nazi ile ya kukuna unaweza tumia iyo badala ya maji nikaweka na sukari na chumvi kama una irick unaweza weka mm sikuwa nayo

Mkuu Hapo naomba ufafanuzi zaidi
 
ndio unaweza fanya ivyo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…