Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,393
Nikuletee wapi πNaomba samaki.
Bado masaa mangapi hapoTungoje mda wa iftar π
njoo nikupikie kama hivyoππYummy
Karibu bossNoma sana chajio inafaa kufuturia!
Ni kweli kabisa mim tambi nakula kwa hamuSijawahi kuwa mpenzi wa kula tambi, japo ukila na maini ya ng'ombe zinakuwa nzuri sana
Zinakifu ukila mara kwa maraNi kweli kabisa mim tambi nakula kwa hamu
Daah wengine ndo tunahemea tukapikeBado masaa mangapi hapo View attachment 3257584
Ugali mwezi siwez kufululiza ase π labda maindi mapyaZinakifu ukila mara kwa mara
Mara mia ule ugali wa muhogo na sato Mwezi mzima lakini sio Tambi π
InapendezaDaah wengine ndo tunahemea tukapike
Wakufungaa utakuwa wew bhna πKuharibiana swaumu tu kwani ungepost saa 1 usiku tusingeona ?
Iuba wengine hawajui ata wafuturu nini kwahy nawasaidiawatu wamefunga we unapost misosi unazingua...ungekuwa Zanzibar tungekukamata
Una shida mahali sio bureUgali mwezi siwez kufululiza ase π labda maindi mapya