Jamani karibuni sana mshiriki Tamasha Jinsia mwaka huu 2017 linalotarajiwa kufanyika.katika viwanja vya TGNP.Mabibo kuanzia tar 5 hadi 9 Septemba. Unaweza kushiriki kwa kufanya maonesho au kutoa mada au kuwa mshiriki wa kawaida tu.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app