Tamasha la Afya ya Tigo ladoda Mnazi Mmoja: TBC waficha watazamaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamasha la Afya ya Tigo ladoda Mnazi Mmoja: TBC waficha watazamaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Phillemon Mikael, Mar 10, 2011.

 1. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  Wakuu angalieni TBC kuna onyesho la bure mnazi mmoja la wale wasanii walamba miguu chini ya mwavuli wao[PRIME TIME]..ajabu ni kuwa tamasha hili tofauti la lile la malaria no more halikutangazwa kabisa....naulizia kisa naambiwa serikali inaogopa nguvu ya umma,waliogopa lingeweza kutumika na wapinzani kuhamasisha watu waigeuze MNAZI mmoja ...kama Revolution Squre...

  TBC kwa kuficha aibu ya wasanii kutumbuiza uwanja mtupu ....hawaonyeshi kabisa audience..its like pale mnazi mmoja ...na namna watu wanavyopenda muziki...watu hawapo....

  Angalieni wenyewe......
   
 2. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  niliwatch tbc nkakasirika nkazima tv hivi hata hao wasanii wameshindwa kutunga nyimbo zenye meseji za kuencourage watu kupima figo ni mambo yao yaleyale ya kipuuzi na kinamasanja hawajadeliver meseji yoyote washafulia. naomba kuuliza hivi hawa wasanii si wamelipwa? why hizo hela za kuwalipa zisingetumiwa hata kutoa elimu ya umma kuhusu ugonjwa wa figo kwa kweli wameniboa, vipaumbele vyetu ni vp au ndo kupeana madeal? coz tunalazamishwa sana kuwasikia na kuwaona hawa watoto wa tht wakati sio kiviiile! Ni wa kawaida saana hiyo promo angepata msanii yeyote angewika. Ila wizara ya afya wamechemka kufanya tamasha la muziki badala ya kutoa elimu ya afya
   
 3. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  naona Serikali inatoa tu ulaji kwa wasanii waliombeba JK...hamna lolote waliloimba ....ujumbe ulikuwa ni tofauti na siku yenyewe..
   
Loading...