Wana MMU,
Mwenzenu tamaa zimenizidia siku hizi.pamoja na kwamba nina girlfriend wangu,lakini kwa muda kama wa miezi miwili sasa tamaa zimeongezeka mno.Asipite mdada tamaa zinawaka hadi abdala kichwa wazi anasumbua sana.Na hata nikikutana na gf wangu nikamaliza mambo lakini bado vilevile tu.....Yaani hadi mimi najiogopa.Wadau hili ni tatizo au? Je mkiwa na tamaa kiasi hicho(Kama mnakuwa nazo) what is the easiest solution...manake naaibika mwenzenu
All that you need is money and time. Kama pesa na muda unao, tongoza tu hao unaowatamani. Utashangaa katika wanawake 10 utaotongoza, 6 kati yao utawafuna. Na kati ya hao 6, mmoja utamtafuna siku ya kwanza ya kumtongoza.
Jiachie tu! Kwanini unaidhulumu nafsi yako?
ushauri wa giza huo shetani ataenda na wengi
Unatafuta nini huku? Si uende kwenye mitandao ya dini? Acha unafiki!
Mkuu wakati kabla sijamjua nafanyaje mkuu? coz nadhani kumjua ni process pia.Na mimi nataka immediate solution.....tamaa yako itaisha siku utakapo jua YESU alikufa kwa ajiri gani, mtwishe YESU mizigo wako na ufingiwe nira yake maana nira yake ni nyepesi kuliko mzingo ulionao, mkuu ikimbie zinaa
Wana MMU,
Mwenzenu tamaa zimenizidia siku hizi.pamoja na kwamba nina girlfriend wangu,lakini kwa muda kama wa miezi miwili sasa tamaa zimeongezeka mno.Asipite mdada tamaa zinawaka hadi abdala kichwa wazi anasumbua sana.Na hata nikikutana na gf wangu nikamaliza mambo lakini bado vilevile tu.....Yaani hadi mimi najiogopa.Wadau hili ni tatizo au? Je mkiwa na tamaa kiasi hicho(Kama mnakuwa nazo) what is the easiest solution...manake naaibika mwenzenu
wapi tena huo? wachungaji wenyewe ndo hivyo tena wanafanya mambo ya ajabu
tamaa yako itaisha siku utakapo jua YESU alikufa kwa ajiri gani, mtwishe YESU mizigo wako na ufingiwe nira yake maana nira yake ni nyepesi kuliko mzingo ulionao, mkuu ikimbie zinaa
Muulize huyo MASELE anayehubiri unafiki hapa! Mnashinda makanisani kutongozana na wanakwaya! Vitendo vya aibu vya kutiana mimba vimekithiri huko halafu analeta unafiki wake hapa!
hapo sasa, watu wanafanya utani na muumba wao jamani. mi simo kabisa
panga ratiba ya mambo yako kuanzia saa 12 alfajili hadi saa 4 usiku, katika ratiba yako usisaau kuweka muda wa mazoezi, majibu utayaona.
Wana MMU,
Mwenzenu tamaa zimenizidia siku hizi.pamoja na kwamba nina girlfriend wangu,lakini kwa muda kama wa miezi miwili sasa tamaa zimeongezeka mno.Asipite mdada tamaa zinawaka hadi abdala kichwa wazi anasumbua sana.Na hata nikikutana na gf wangu nikamaliza mambo lakini bado vilevile tu.....Yaani hadi mimi najiogopa.Wadau hili ni tatizo au? Je mkiwa na tamaa kiasi hicho(Kama mnakuwa nazo) what is the easiest solution...manake naaibika mwenzenu
Mkuu niko bize wewe....hata huo muda wa mazoezi ni weekend tu...lakini huko huko nilipo kwenye mishemishe zangu ni balaa tu....yaani isipite sketi.......duh
injili lazima ihubiriwe kwa viumbe vyote, maana ndo chanzo cha uzima na wokovu, hata shetani mwanzoni alikuwa mkuu wa sifa, so usiangalie ya dunia na mambo yake maana dunia inapita na mambo yake, we angalia umekaa wapi siyo mchungaji anazini na wewe unafuata, maana kila mtu atabeba hesabu yake na kila kazi itapimwa kwa motoMuulize huyo MASELE anayehubiri unafiki hapa! Mnashinda makanisani kutongozana na wanakwaya! Vitendo vya aibu vya kutiana mimba vimekithiri huko halafu analeta unafiki wake hapa!
injili lazima ihubiriwe kwa viumbe vyote, maana ndo chanzo cha uzima na wokovu, hata shetani mwanzoni alikuwa mkuu wa sifa, so usiangalie ya dunia na mambo yake maana dunia inapita na mambo yake, we angalia umekaa wapi siyo mchungaji anazini na wewe unafuata, maana kila mtu atabeba hesabu yake na kila kazi itapimwa kwa moto
ishinde tamaa, hilo ni jaribu lako yakupasa ulishindeMkuu wakati kabla sijamjua nafanyaje mkuu? coz nadhani kumjua ni process pia.Na mimi nataka immediate solution.....
Kama ni hivyo basi kaa kimya na usihukumu. Unachofanya wewe hapa ni kuhukumu si kuhubiri injili. Labda kama hujui tofauti yake.