Heheya!! Michepuo Imezidi Sana.
Kwa Wanaume Wengi Huwa Wanatamani Kuwa Na WanaWake Wengi Kwa Sababu Ya Kuangalia Maumbile Yao Kama Vile Sehemu Za Makalioni Na Kufurahishwa Na Jinsi Wanavyotembea. Kwa Ujumla Wanaangalia Maumbile. Au Mnasemaje Wenzagu?