@Edward Teller
Suspending talks will inflicts pain to both sides and may be USA in more pain.Kwasababu vita hii haina ukweli wowote na mpaka sasa hivi hawajashinda vita na hakuna dalili yoyote ya kushinda isipokuwa America wanaendelea kupoteza wanajeshi wao na kupoteza mabilioni ya pesa pamoja na lawama nyingi za vitendo wanavovifanya na mauaji ya raia wasio na hatia ktk nchi ya watu.America ndio waliotaka mazungumzo na Talaban kutokana na kushindwa kwa vita na tatizo hawawezi kuondoka kama hawajashinda vita kwasababu itakuwa ni aibu kwa Taifa kubwa ku-sarender.Hivo wanataka watalabani wakubali kushindwa halafu na wao ndio waondoe majeshi ili waonekane kama wamefanikiwa.Pesa walizotumia ktk vita ni nyingi sana na bado wanaendelea kutumia mabilioni huku nchini mwao kuna rumba la nguvu hadi wananchi wanalala nje hovyo na kazi hakuna yaani wamefilisika.Dunia imebedilika kama ile methali inayo sema "mpanda ngazi hushuka" au "alieko juu mngoje chini".Wao wenyewe wanafahamu nini kinachoendelea kwahivo iliyobaki ni kuzua vita ya dunia na kama tunavoshuhudia imeanza we we angalia huku Africa sasa hivi ndio inazidi kuchafuliwa bila wenyewe kujijua.