Sio point.....
Unajua Haaland mpaka muda huu ana goli ngapi pale EPL?????Haaland kacheza game 36 akianza game 32 peekee na ana goli 36 na assist 7.
je,timu zimeongezwa kufikia 40 kwenye ligi pale england?
Na hao washambuliaji wengine walivyokuwa wanafunga goli 18-22 ligi ilikuwa na timu ngapi? Si hizo hizo ???
Jibu ni UWEZO TU na si kingine,
Zaka zakazi alisema huyu ni mediocre player mkambishia
NOTE: USIJE SEMA NAMFANANISHA NA HAALAND HUO NI MFANO TU