Takwimu hazidanganyi: Paul Pogba ni zaidi ya Ng'olo Kante Premier League

Imenibidi kuangalia Jukwaa kwanza. Ahsanteni. Napita na zangu.
 
Jamani TAKWIMU hizo hapo, na siku zote TAKWIMU hupingwa kwa TAKWIMU na sio POROJO na KUHOROJOKA.
 
Vipi kuhusu kila mmoja kusababisha madhara kwa timu ya mwenzie..! In two games mu against Chelsea Kante score 2 Pogba 0.

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Shabiki la man bahna....naona umeanza kuona mwezi unaanza kujitapa baada ya kutoka nafas ya sita
 
Takwimu zako fake bana kante kawatungua manu mara 2 weka sawa anagoli 2
Mshabiki maandazi, hajui hata kinachoongelewa, hizo ni takwimu za premier leag, moja ya hayo magoli alioifunga man utd, halikua la premier leag, lilikua la FA cup
 
Ina maana wajomba mnabixhana hat na data wazungu hawapendag ujinga wanaangalia data xaxa mnabixhana na ukwl wabongo nimewavilia kofia
 
Mwisho wa siku tutaona kwenye kikosi bora cha mwaka cha EPL kante na pogba nani atakuwepo malalamiko hatutayavumilia .
 
Kwani pogba huwa anacheza kama defensive midfielder???????
Kwani ngolo kante amenunuliwa kwa pound million 90
 
Kwa hiyo ulitaka kante amzidi pogba kwa magoli?kwa shots on target?kwa assits?kwa ku create chance?
Kante ni DM,Pogba ni AM ndio mana ukienda kwenye takwimu za tackling,interceptions ataongoza kante ila kwenye vinavyohusu ushambuliaji ataongoza Pogba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…