Takukuru yafanya uonevu Masasi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,453
Reaction score
283,788
Hebu angalieni hii



Unakamata wadogo wanaofanya kampeni lakini unamuacha mkubwa aliyeanza kampeni miaka miwili iliyopita huku akigawa mizawadi kibao iliyopachikwa picha zake.

Au yeye kahalalishwa kufanya kampeni na wengine hawaruhusiwi?

Siwapendi Wanaccm lakini kwenye hili nawatetea, hii ni kwa sababu Kiongozi ndiye anayeongoza njia , Kaanza yeye na hawa wengine wanamfuata, Tatizo liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…