TAKUKURU mulikeni TTCL Nyerere Road

TAKUKURU mulikeni TTCL Nyerere Road

mabereng'ombe

Member
Joined
Nov 22, 2013
Posts
70
Reaction score
18
Kuna watu wanalalamika kwamba kampuni ya simu Tanzania inakufa lakini hawajui sababu. Sasa hivi ukiwa na simu yako Landline inachezewa ili isifanye kazi. Ukipiga simu Huduma kwa Wateja wanakupa namba za mafundi.

Hao mafundi ukiwapigia wanakwambia Lunch yangu leo iko kwako. Maana yake hapa ni kwamba wanazichezea simu za baadhi ya wateja kwa makusudi ili wawape rushwa. Mchezo huu uko ofisi ya TTCL Nyerere Road na kuna fundi mmoja anaitwa Tesha huyu ndiye kinara wa mchezo huu.

Shirika lenyewe linakufa kutokana na kukosa wateja halafu hao wachache waliopo badala ya kunyenyewa wanazidi kuumizwa. Naomba Takukuru wapitie malalamiko haya!!
 
TAKUKURU are hopeless
 
ngoja waje kusoma mkuu naimani watalifanyia kazi hilo japo mengine yanayofaninia wameyapotezea kidizaini.
 
Kuna watu wanalalamika kwamba kampuni ya simu Tanzania inakufa lakini hawajui sababu. Sasa hivi ukiwa na simu yako Landline inachezewa ili isifanye kazi. Ukipiga simu Huduma kwa Wateja wanakupa namba za mafundi.

Hao mafundi ukiwapigia wanakwambia Lunch yangu leo iko kwako. Maana yake hapa ni kwamba wanazichezea simu za baadhi ya wateja kwa makusudi ili wawape rushwa. Mchezo huu uko ofisi ya TTCL Nyerere Road na kuna fundi mmoja anaitwa Tesha huyu ndiye kinara wa mchezo huu.

Shirika lenyewe linakufa kutokana na kukosa wateja halafu hao wachache waliopo badala ya kunyenyewa wanazidi kuumizwa. Naomba Takukuru wapitie malalamiko haya!!

Majungu haya, TTCL haifi, haitakufa na haijafa. Acheni kusambaza taarifa za urongo mitandaoni
 
Back
Top Bottom