Take it or not

USA Alikuwa game changer baada ya ku drop atomic bom. Wewe unaona ihyo ndio sifa anayostaili
 
Bila ussr Hitler angetawala ulaya yote.
Stalin stopped Hitler in his track.
 
USA Alikuwa game changer baada ya ku drop atomic bom. Wewe unaona ihyo ndio sifa anayostaili
Hafadhali wewe unajua japo history kwamba US alitumia atomic kumdihibiti Japan tena ni miaka hiyo 45.So,unawaambia nini wanaotishia nuclear dhidi ya US tena mwaka 2022 wakati wao wameanza tumia miaka 1945?☺️☺️.
Hiyo atomic haikuokotwa porini kama Embe kwamba hata useme Japan nae angeliokota angelimpiga nalo US.hiyo ni tech na rasimali vichwa pevu vilikaa vikatengeneza hayo madude.
Mwaka 1945 mtu anapigwa ni kitu Kizito na Dunia ya wakati huo ilikuwa inachukulia uwepo wa Atomic kama kitisho bandia cha kutisha maadui.


Vitisho vya nuclear vinavyotolewa na Urusi ni utoto, wapuuzwe tu.
 
Since you are caged,the outside world must be strange to you.
 
Putin alishatuambia wa Afrika tuondoe kwanza njaa kwenye bara letu ndio tujadili masuala ya vita
 
Kwahiyo hapa umethibitisha kuwa USA ndio kilanja wa kuvunja international law. Sasa wengine wakivunja tulizeni makalio yenu. Mwacheni North Korea alone afanye mambo yake
 
Pro Russia wengi akili kisoda, wanapayuka tu bila kushirikisha bongo zao.
 
Sawa kingwendu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…