muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,604
- Thread starter
-
- #21
Sawa kabisa, hata kama wewe -ke, jamaa kakamilisha au ni free P tu inayoendelea? (Jokin')Mimi ni ke sio me
Hahahaaaa, vipi kwako jamaa kalipia? Kama bado nije nikurudishe nyumbani!!Wamesikia, ila hapa watajikausha ka wameishalipia!!
Kwa hiyo chanzo ya hiki kitu ni nini mkuu bila kusahau solution yake!zamani mahusiano yalimaanisha ndoa. ilikuwa huwezi kutafuta binti bila sababu yoyote hasa free P. Inafika kipindi hata hao wanaolalamika kuwa hawaolewi baada ya kukaa miaka mingi kwenye uhusiano hawajui ni kwanini waliingia kwenye mahusiano. Utasikia wanasema eti tulikuwa tunachunguzana.
Hahahaaaa, vipi kwako jamaa kalipia? Kama bado nije nikurudishe nyumbani!!
Hahahaaaa, kumbe Boko haram mpo wengi kweli lol!wadanganye warudi kwao waone! siku hizi watu wanaowa kwa ajali, siyo kufuatana na kumkuta bintinyumbani na bikra yake iko sealed, hakunahiyo, chukua mzigo tumia ukikunogea chukua jumla!
Hahahaaaa, kumbe Boko haram mpo wengi kweli lol!
Tena ukiwagegeda vizuri wanajitolea mahari wenyewe.
Tena ukiwagegeda vizuri wanajitolea mahari wenyewe.
Hata kama kaja mkuu lazima umtendee haki bwana! Japo kawa mnyonge kwako lkn haki yake mpe!
Habari za jioni waungwana!
Nadhani mmeanza vizuri mapumziko ya mwisho wa wiki. Jamani, mimi sitakuwa na mengi ila picha ifuatayo inasema yote! Hii kitu ni ya MMU na siyo JF photos ndo maana nimeileta hapa!
Hili ni wazo la wikiendi hii, lifanyie kazi!
View attachment 181357
CC. ng'wana ong'wa kulwa charming lady Mtambuzi King'asti benteke miss neddy Lala 1 The Boss Nyani Ngabu
Mwanamme wa kweli katika mahusiano anajua wajibu wake ni zaidi ya kugegeda mkuu!haki gani? maana mie haki nayoijua mwanamke anastahili ni kugegegdwa
Hahahahaaaa, mkuu wangu Mtambuzi, mimi nimekuita tu ili uwafikishie ujumbe na watu wengine kwani najua wewe ni mtu wa watu! Pia usisahau kumwambia Mentor, mzee Rutta ( Ruttashobolwa ), KakaKiiza Baba V pamoja na Dark City japo yeye ameshalipa na hadaiwi tena!Mkuu umeniita unadhani sijalipa mahari au?
Hii maneno labda mzee mwenzangu Asprin inamhusu
Ng'ombe hazeeki maini kaka!hahaha, sisi tulishazeeka bana, hata hizo nguvu za kufanya ugaidi kwishney yamebaki maneno tu!
Hahahahhaha
Hahahahaaa, hongera sana mkuu kwa kutokubali kujiunga na Boko haram! Waambie na wengine ambao hawajapeleka wapeleke mkuu!Hahahahhaha
Mkuu Mimi nilisha peleka mahari!
Mwanamme wa kweli katika mahusiano anajua wajibu wake ni zaidi ya kugegeda mkuu!