Take back that girl

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
3,543
Reaction score
3,604
Last edited by a moderator:
Mmmmh! Mapenzi upofu! Mi naona ukiwa na bf ana demand usacrifise sanaa ujue hakupendi! Ndo unakaa na mtu miaka 5, mpapa unapigwa free P daily, kutwa mara 3, unajitoa balaa, acha mikazi ya kupik, kufua, sijui nini kama punda afu mtu ANAKUJA KUOA MTU MWENGINEEEE WAMEKUTANA FOR A MONTH! Hahaaaa! Men can be cruel!
Mdada unaitaka ndoa, unaka na mtu mwaka ukiulizia ndoa kigugumizi si balaa hilo? Afu unangoje 5 yrs! Mapenzi upofu! Ukiachwa mpapa hauepukiki kufanyiwa impairment of losses, na kufanyiwa valuation kwa book value, maana ikitumika market value hio scrape value itakuwa balaa!
 
Ndo hapo sasa! What is the way foward kwa issue hii make imekuwa ni mojawapo ya tatizo kubwa sana katika mahusiano ya siku hizi!
 

Mama watakuelewa kweli, umeongea kihasibu sana
 
Last edited by a moderator:
Ndo hapo sasa! What is the way foward kwa issue hii make imekuwa ni mojawapo ya tatizo kubwa sana katika mahusiano ya siku hizi!

zamani mahusiano yalimaanisha ndoa. ilikuwa huwezi kutafuta binti bila sababu yoyote hasa free P. Inafika kipindi hata hao wanaolalamika kuwa hawaolewi baada ya kukaa miaka mingi kwenye uhusiano hawajui ni kwanini waliingia kwenye mahusiano. Utasikia wanasema eti tulikuwa tunachunguzana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…