Kwa habari nilozosikia Taji Sitti keshajivua ila Lundenga ndio anangangania kua aendelee kubaki nalo.. hata ule uvumi wa mara ya kwanza nasikia ilikua kweli japo Lundenga akaja kukanusha kua si kweli.
Ni tetesi tu
Lundenga nae kwa visa anaweza nipa hata Mimi mama mwenye watoto wa3, bora awe na mood tuu mengine hataki kujua....
hivi akivua taji na zile zawadi alizo pewa atazirudisha?
Mwaka huu nadhani ndio mwisho wa haya mashindano ya uchangudoa ambayo kila mwaka yanaendelea kukosa umaarufu..
Wenzetu walioendelea wanaposikia mrembo kutoka Afrika wanajua ni mrembo mmoja mweusi, mrefu, mwembamba, hajasuka wala kuweka rasta nywele ie black beauty.
Odemba ameshinda mara nyingi ulaya kwa kujua hili.
Sasa sisi tulivyo wa ajabu tunapeleka waliojichubua, waliovaa nywele za bandia, na wenye kuiga uzungu.
Mshindi wa tatu anaweza kuwakilisha vyema.
Otherwise hatupati kitu
Hehehe....yani utafikirI kichangudoa...na alivyojichubua sasa eti hii ni siku ya graduation. .seriously.????????
Hivi baba wa Kiafrika kupiga picha na binti yako akiwa kwenye mavazi haya hii ni adabu ya wapi?
hot news nilizopata...,
Zawadi unarudisha.., hivi mwaka huu alipewa gari???
hot news nilizopata...,
zawadi unarudisha.., hivi mwaka huu alipewa gari???