Shikamoo mshenga.asante mama yangu kuwa mnoko mnokk..sasa hv naishi maisha yampendezayo Mungu na wanadamu[emoji14]
Shikamoo mshenga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka ninyima nn kuniamkia namna hyo... hajambo rafiki yetu..mgao unakuwaje sasa na ww... njoo hapa chini ya samak samak bathi
πππππ dead[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eafiki yetu kaja na swaga ya kuumwa kichwa eti. Sijui ndio gia ya kutokutoa pesa!!! Ngachoka.
Kakazana nimpigie sijui anaumwa kichwa, nikawaza "kwani mimi panadol"!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dead