ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,918
- 45,840
Madeni sio mazuri, wengi tunakopa tukiwa na shidahamna kitu sipendi na najitahidi kadri niwezavyo kuepuka n madeni
yanatesa sana imagine unakatwa laki mbili kila mwez kwa miaka mitano.unazaa mtoto mpaka anaanza shule we bado unakatwa tuhamna kitu sipendi na najitahidi kadri niwezavyo kuepuka n madeni
Duh, umekuwa msajili wa madeni ya wana JF?Kuna watu madeni yanawatia stress wanashindwa hata kula wakiyawaza wanaishia kufakufa tuwasaidie kwa kuwatajia madeni yetu ili wajione Hawapo peke yao..
MlipieDuh, umekuwa msajili wa madeni ya wana JF?
Kwa mwanamke kwel epuka sana madeni yasije yakauponza.hamna kitu sipendi na najitahidi kadri niwezavyo kuepuka n madeni
Mungu hamdai mtu wewe.1. Mungu
2. Wazazi
3. Wanaoniombea
Sina cha kuwalipa zaidi ya shukrani.
Hayupo kwenye budget yangu ya matumiziMlipie
Thibitisha sidaiwiMungu hamdai mtu wewe.
wee jamaa duh!nina stress umenifanya nicheke hapayanatesa sana imagine unakatwa laki mbili kila mwez kwa miaka mitano.unazaa mtoto mpaka anaanza shule we bado unakatw tu
Bajeti yako inapangwa na nani?Hayupo kwenye budget yangu ya matumizi