Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Kwa jina moja tu, unaweza ukawataja mabosi au wafanyakazi waliokuwa wanafanya kazi kwa mikogo na majivuno utadhani wana hisa kwenye hizo kampuni lakini wakaja kufukuzwa au kupigwa chini wakabaki hawaamini!
Mimi naanza na huyu anaitwa Joseph, huyu jamaa kutoka Kenya alikuwa anajifanya kama vile yeye kampuni ndio ya kwake... Basi akaunda fitina tupigwe chini kwa visingizio kuwa eti haoni kazi tunazofanya... Few months later naye akaondolewa na kurudishwa kwao... Nasikia sasa hivi kawa kimbau mbau na mvi tele...