Leo nilikuwa Arusha. ...nilikuwa naelekea kijenge kuna Mashimo wawili kwenye Daraja la kijenge kwa magari yanayotoka mjini ni shida...wahusika rekebisheni
Sasa umeenda kijenge umekuta mashimo mawili bararani ukaleta uzi, Sasa ungeenda barabara ya ungaltd kuelekea engo au barabara ya ungaltd kwenda uswahilini, si ungeanzisha forum yako kabisa?

Weeee... Mkuu hapo patamu. Unajua huku kwetu mwanza kuna kipande kidogo tyu cha barabara kama miter 900 hivi kinaitwa PAMBA ROAD alaf kipo katikati ya jiji yana kila mwaka kinatengenezwa ila mashimo huwa hayaishi.... Yan kinanikera mm bas tyu,