Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,142
- 166,050
Yale ya Dodoma hayatafikisha hata miaka 30Limedumu miaka yote hyoo? Aahhahh ila majengo ya ckuiz yanaanguka kabla ya kukaliwa
Utayaacha yakiwa mazima.Yale ya Dodoma hayatafikisha hata miaka 30
Utamlipa?Mkuu ukipata wasaa tuletee na story kuhusu Angkor Wat, lile hekalu kubwa kule Cambodia.
Kaangali Benjamin Mkapa tower ilivyochakaa, nyufa kila sehemu na system nyingi hazifanyi kaziUtayaacha yakiwa mazima.
Majengo ya serikali lifetime yake ni kuanzia miaka 50
Poa Mkuu, usijaliMkuu ukipata wasaa tuletee na story kuhusu Angkor Wat, lile hekalu kubwa kule Cambodia.
Bwana ehhh hili jina linatafsiri ndefu mno, kuandika kwenye simu siwezi. RELIHii kitu Ilimponza Bwana Jela Wa FOX RIVER, Alitaka kufurahisha moyo wa Mkewe, Mhandisi Solfield akatumia mwanya huo huo kufanya mipango, Bwana Henry kwa Hasira akalivunjilia mbali..!
Umenikumbusha mambo ya Prison Break Mkuu Bujibuji , then Jana usiku kijana wangu kaona hili jina lako akacheka sana akaniuliza maana yake nini nikamwambia sijui.