MATEO GODFREY
Member
- Apr 7, 2014
- 54
- 89
Juzi nilibadirisha Wishbone, CV joints brake pads, Top mount kwenye hii Suzuki swift baada ya kupata ushauri kutoka kwa wadau WA jamii forum baada ya hapo kesho yake nikaipeleka kufanya wheel alignment kwenye servicebay ya Kituo Cha mafuta chenye jina kubwa sana pale Ununio jamaa alikuwa anachezesha camber bolts na spana na sehem zingine mpaka alipokuja maliza kazi yake chakushangaza Jana usiku nimekata kona Tairi ikacollapse namna hiyo