Bei gani tairi moja mkuu
Ni kiasi gani unauza kwa zote
mnansumbua bure, kila kitu kiko hadharani. size iko kwenye lebo/kifungashio cha tairi. bei imetajwa 1m=250,000@Hiyo ni size gani ingawa Kwa picha inaweza kukisiwa
Oooh sorry sikuona kiongozimnansumbua bure, kila kitu kiko hadharani. size iko kwenye lebo/kifungashio cha tairi. bei imetajwa 1m=250,000@
karibu sana!Oooh sorry sikuona kiongozi
Zipo mkoa gani?