Uwanja hautoshi au dege litakwenda kwa hasara?October 9, 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe amesema Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania – Taifa Stars kitaondoka usiku wa leo kuelekea mjini Praia, Cape Verde kwa ndege ya kukodi kuifuata timu ya taifa ya huko kwa ajili ya michuano ya kufuzu kwa michuano ya AFCON inayotarajiwa kufanyika mapema mwakani. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea kambi ya timu hiyo Waziri Mwakyembe amesema, mabadiliko ya safari hiyo kutoka Dream Liner na kuamua kukodi ndege yanatokana na ufinyu wa uwanja wa ndege wa Mjini Praia ambao hauwezi kutua ndege kubwa. Aidha Waziri Mwakyembe amewataka wachezaji wa Taifa stars wakacheze kwa kujituma ili kuibuka na ushindi katika mchezo huo huku akiwasihi watanzania kuiombea timu hiyo. Kwa upande wake Rais wa TFF Wallace Karia na Nahodha Msaidi wa Taifa Stars Himidi Mao wameelezea maandalizi ya mchezo huo.
Hivi Mwakyembe amewahi kufanikiwa katika lipi ?Uwanja hautoshi au dege litakwenda kwa hasara?
Ushamba mzigo.
hiyo ni zuga tu!!hao tisini hadi sasa hawajafika sembuse hao 262!!!!Uwanja hautoshi au dege litakwenda kwa hasara?
Ushamba mzigo.
ndio maana yake!!!eti run way yao ni km2!!!wakati hilo dude letu lnataka km tatu na kuendelea!!hawakujua hilo mapema?!!hadi sasa hao abiria tisini wa ndeg hiyo waliyoipata hawajafika sembuse 262?!!Ya kweli hayo?!
Wazee wa kukurupuka!!
" Dream Liner na kuamua kukodi ndege yanatokana na ufinyu wa uwanja wa ndege wa Mjini Praia ambao hauwezi kutua ndege kubwa" mmh sijawahi kushuhudia uongo wakijinga kama huo....badala ya kusema abiria wakuchangia wamekosekana hizo $1500 na 2000 sio mchezo kwa usawa hu....cape verde haina kiwanja cha kimataifa Dreamliner kutua ni kichekeshoAeroporto internacional da Praia Cabo Verde
Kwa hiyo mipango ilikuwa waende na dreamliner bure au? Ni wazi hii ndege iko misused! Yaani wanataka wairushe rushe tu ili mradi.October 9, 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe amesema Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania – Taifa Stars kitaondoka usiku wa leo kuelekea mjini Praia, Cape Verde kwa ndege ya kukodi kuifuata timu ya taifa ya huko kwa ajili ya michuano ya kufuzu kwa michuano ya AFCON inayotarajiwa kufanyika mapema mwakani. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea kambi ya timu hiyo Waziri Mwakyembe amesema, mabadiliko ya safari hiyo kutoka Dream Liner na kuamua kukodi ndege yanatokana na ufinyu wa uwanja wa ndege wa Mjini Praia ambao hauwezi kutua ndege kubwa. Aidha Waziri Mwakyembe amewataka wachezaji wa Taifa stars wakacheze kwa kujituma ili kuibuka na ushindi katika mchezo huo huku akiwasihi watanzania kuiombea timu hiyo. Kwa upande wake Rais wa TFF Wallace Karia na Nahodha Msaidi wa Taifa Stars Himidi Mao wameelezea maandalizi ya mchezo huo.
Kutokomeza vumbi kichwani[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hivi Mwakyembe amewahi kufanikiwa katika lipi ?
UwiiiiiNdege ya Serikali Boeing 787-8 Dreamliner haitawasafirisha tena wachezaji wa Taifa Stars na mashabiki kwenda nchini Cape Verde baada ya kubaini kuwa uwanja wa ndege uliotakiwa kutua ni mdogo.
Badala yake ndege ndogo itatumika kuwabeba wachezaji na mashabiki wa Tanzania.View attachment 892139