Taifa Stars wangekuwa wana japo ka amsha amsha, huku mtaani tungesikia kelele za ushabiki za masela zikitokea vibanda umiza, lakini mpaka sasa ni ziiii!, sisikii makelele kutoka vibanda umiza wala nini, ukiona hivyo timu yetu inakimbiakimbia tu uwanjani.