Du wewe jamaaRais amlete Marcio Maximo mwingine hata tusogee kidogo
NaamDu wewe jamaa
Moja moja mkuuKwani ngapi ngapi waungwana??
...wasen.ge sana taifa stars...yani wanakatisha tamaa sanaaaa....yani hata lethoto inawatoaje jasho??/wasen.ge hawa wa taifa stars wamefanya leo nimepoteza hela kwenye mbet....nimewapa ushindi dhidi ya lesotho lakini wamshindwa kutetea goli lao...yani wanacheza utafikiri mashoga....ni samatta tu anaonekana timu nzima utafikiri wengine ni misukule...nimesema daima sitaweka hela taifa stars....kamwe....hata kama watacheza na comorro....ama somalia...ama timu ya wanawake...leo nisingewapa ushindi taifa stars ningepiga milioni mbet...sasa jiulize ni wangapi wamepoteza hela zao leo....wasen.ge sanaaa...hakuna namna nyingine ya kuwaelezea...
Acha mkuu usinikumbushe ile mechi.......niliumia sana ila ndo hvyo tena Bongo bahati mbayaVita ya kushabikia starz haijawah mwacha mtu salama
Mara yangu ya mwsho kuishabikia starz ni pale taifa tulivyowatwanga goli 2-0 na kukosa fursa zaidi ya 8 za kufunga.. Algeria wakarudisha zote halafu kwao wakatutwanga 7-0 yani zaid ya kuruka ukuta. Kuanzia pale nikamkumbuka Mwinyi kuwa Taifa starz ni kichwa cha mwendawazimu.
Acha mkuu usinikumbushe ile mechi.......niliumia sana ila ndo hvyo tena Bongo bahati mbaya
Du wewe jamaa